WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAMHURI YA SHIRIKISHO LA UJERUMANI AWASILI NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul,muda mfupi baada ya kuwasili nchini. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika (DEA) Balozi Swahiba mdeme akifuatiwa na Balozi wa Tanzania Nchini Ujerumani Dkt. Abdallah Possi na mbali kushoto ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Balozi Regina Hess
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul,muda mfupi baada ya kuwasili nchini
Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul, akisikiliza jambo kwa makini wakati wa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) (hayupo pichani)