WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAMHURI YA SHIRIKISHO LA UJERUMANI AWASILI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe.Katja Keul, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb), mara baada ya kuwasili nchini, kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili. Aliyevaa koti jeusi bila barokoa ni Dkt. Abdallah Possi,Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul,muda mfupi baada ya kuwasili nchini. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika (DEA) Balozi Swahiba mdeme akifuatiwa na Balozi wa Tanzania Nchini Ujerumani Dkt. Abdallah Possi na mbali kushoto ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Balozi Regina Hess
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul,muda mfupi baada ya kuwasili nchini
  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul, akisikiliza jambo kwa makini wakati wa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) (hayupo pichani)