Skip to main content
News and Events

WAZIRI MULAMULA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA UINGEREZA NCHINI

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (kulia) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Mhe. David Concar (kushoto) alipowasili katika ubalozi wa Uingereza kutoa pole kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II.
  • Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki , Balozi Mindi Kasiga (kulia) akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini, Mhe. David Concar (kushoto) alipowasili katika ubalozi wa Uingereza kutoa pole kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II.
  • Mkurugenzi Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Swahiba Mndeme akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Uingereza nchini kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II.
  • Balozi wa Uingereza nchini, Mhe. David Concar akizungumza na Mhe. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe, Balozi Liberata Mulamula (wa tatu kulia).
  • Mazungumzo yakiendelea