Waziri Mahiga afanya mazungumzo na Wabunge wa EALA
Waziri Mahiga afanya mazungumzo na Wabunge wa EALA
Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari walipotembelea ofisi za Wizara mjini Dodoma. Kulia ni Mhe. Wanjiku Muhia kutoka Kenya ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa ziara hiyo
Mhe. Adam Kimbisa Mbunge wa EALA (Tanzania) akizungumza wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari
Mkutano ukiwa unaendelea