Skip to main content
News and Events

Waziri Kabudi akutana na Balozi wa Iran nchini Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akimuelezea jambo Balozi wa Iran hapa nchini Mhe. Mousa Farhang alipomtembelea katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam Mei 20, 2019

  • Maafisa Ubalozi wa Irani hapa nchini wakisikiliza mazungumzo kati ya Prof. Palamagamba John Kabudi na Balozi Mousa Farhang (hawapo pichani)Maafisa Ubalozi wa Irani hapa nchini wakisikiliza mazungumzo kati ya Prof. Palamagamba John Kabudi na Balozi Mousa Farhang (hawapo pichani)