TANZANIA–CHINA KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO
Mazungumzo yakiendelea
1. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimisha mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge akifafanua jambo kwa Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke walipokutana kwa mazungumzo jijini Dodoma