Tanzania ya tia fora kwenye Tamasha la Michezo la Afrika Mashariki jijini Bujumbura
Tanzania ya tia fora kwenye Tamasha la Michezo la Afrika Mashariki jijini Bujumbura
Timu ya mpira wa miguu ya Wanawake ya Tanzania ikishangilia ushindi pamoja mashabiki waliojitokeza kushuhudia shindano hilo
Timu ya mpira wa pete ya Tanzania (waliovalia jezi rangi ya bluu) ikiishambulia timu ya timu ya Burundi kwenye moja ya mchezo katika Tamasha la Kwanza la Michezo la Afrika Mashariki. Katika pambano hilo Tanzania iliibuka na ushindi wa magoli 79 -14 dhidi ya Burundi