Skip to main content
News and Events

Rais Ramaphosa aitembelea kambi ya Wapigania uhuru wa Afrika Kusini iliyopo Mazimbu, Morogoro

Rais Ramaphosa aitembelea kambi ya Wapigania uhuru wa Afrika Kusini iliyopo Mazimbu, Morogoro

  • Mhe. Prof. Kabudi naye akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa Afrika Kusini mkoani Morogoro
  • Mhe. Rais Ramaphosa akizungumza wakati alipotembelea kambi za wapigaia uhuru kutoka Afrika Kusini zilizopo Mazimbu mkoani Morogoro. Katika hotuba yake alitoa shukrani kwa Watanzania hususan wakazi wa eneo hilo kwa mchango mkubwa walioutoa ikiwemo kutoa eneo na kuwahifadhi wapigania uhuru wa nchi hiyo ambapo alisema amefarijika kukanyaga ardhi hiyo yenye historia kubwa ya ushirikiano wa kindugu kati ya Tanzania na Afrika Kusini. Pia aliahidi kuhakikisha nchi yake inaimarisha soko la mazao mbalimbali kutoka Morogoro na pia kuifanya kambi hiyo kuwa kituo kikubwa cha utalii.