Skip to main content
News and Events

PROF. KABUDI AMLILIA MZEE MKAPA

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa. Mhe. Benjamin William Mkapa alifariki dunia usiku wa kuamkia Ijumaa ya Julai 24,2020 Jijini Dar Es Salaam na anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake Lupaso,Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Jumatano ya Julai 29,2020