Prof. Kabudi afanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Rwanda
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille alipowasili katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni 2019.
Mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille yakiendelea. Kushoto kwa Mhe. Kabudi ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya N
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille (kulia) akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe mara baada ya kuwasili katika Ofisi ndogo za Wizara zilizopo