Skip to main content
News and Events

Naibu Waziri akutana na Naibu Waziri wa Jamhuri ya Czech

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Czech Mhe.Ivan Jancarek  Katika mazungumzo kuhusu namna ya kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizi mbili katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo, elimu na utalii.