Skip to main content
News and Events

Naibu Waziri afanya mazungumzo na mshindi wa Urembo la World Miss University Africa 2017

Naibu Waziri afanya mazungumzo na mshindi wa Urembo la World Miss University Africa 2017

  • Mhe. Dkt. Susan Kolimba Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akizunguza na Bi. Queen Elizabeth Manule mshindi wa shindano la 28 la urembo katika taji la World Miss University Africa (2017) lililofanyika Cambodia tarehe 20 Desemba, 2017.Membo Bi. Queen Elizabeth alikuja kumsalimu Naibu Waziri na kuomba ushirikiano kutoka Wizarani na Serikalini kwa ujumla katika kutekeleza mpango wake wa kutangaza amani Duniani na kusaidia jamii.
  • Naibu Waziri Mhe. Dkt.Susan Kolimba akimsiliza Mrembo Bi. Queen Elizabeth Manule wapokutana kwa mzungumzo Wizarani jijini Dodoma.