MKUTANO WA DHARURA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC WAANZA DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akifungua kikao cha Kamati ya Kudumu ya Maafisa waandamizi/ Makatibu Wakuu wa SADC kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akiongoza Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Maafisa waandamizi/ Makatibu Wakuu wa SADC katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijin
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Mabula Mchembe (katikati) akiwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nziku (kulia) na Naibu Katibu Mkuu (Fedha za Nje) Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Khamis Shaaban, katika kikao cha Kamati