Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje atembelea Ofisi za Kamisheni ya Kiswahili ya EAC Zanzibar
Prof. Mkenda (katikati) akiwa ameshikilia Mpango Mkakati wa Kamisheni hiyo huku akisikiliza maelezo kutoka kwa Prof. Simala (kulia). Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar, Balozi Mohammed Hamza