Katibu Mkuu ashiriki Mkutano wa Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na China
Katibu Mkuu ashiriki Mkutano wa Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na China
Katibu Mkuu Prof. Adolf Mkenda akizungumza katika Mkutano wa Ukanda Maalum wa Kiuchumi wa Uwanja wa ndege wa Hanan (Hanan Airport Special Economic Zone) uliofanyika nchini China.
Wajumbe wakifuatilia Mkutano wa Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na China
Katibu Mkuu Prof.Adolf Mkenda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji wa Serikali ya Tanzania na wa Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China mara baada ya kuhitimisha Mkutano na Benki ya Uwekezaji ya Asia.
Katibu Mkuu wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza kwenye Mkutano wa Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na China