Skip to main content
News and Events
Publications and Reports

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA MWAKA WA FEDHA 2022/2023

Mheshimiwa Balozi Liberata Rutageruka MulaMula (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022

  • Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akijibu maswali Bungeni baada ya uwasilishwaji wa Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka wa Fedha 2021/2022.
  • Mheshimiwa Balozi Liberata Rutageruka Mulamula, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk Naibu Waziri wakifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea Bungeni
  • Balozi Joseph Edward Sokoine, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akitambulishwa Bungeni, kabla ya uwasilishwaji wa Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka wa Fedha 2021/2022.
  • Mheshimiwa Balozi Liberata Rutageruka Mulamula, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki¬†akiwa katika picha ya pamoja Wageni waliofika Dodoma bungeni kufuatilia uwasilishwaji wa Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka wa Fedha 2021/2022.
  • 1. Mheshimiwa Balozi Liberata Rutageruka Mulamula, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk Naibu Waziri (wa kwanza kushoto mstari wa mbele) na Balozi Joseph Edward Sokoine, Katibu Mkuu (Watatu kutoka kushoto mstari wa mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Wizara baada ya uwasilishwaji wa Hotuba ya Bajeti.
Downloads File: