Skip to main content
News and Events

Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara

Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara

  • Balozi Ramadhani Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akisalimiana na Balozi Mohamed Ben Mansour Al Malek Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, walipokutana kwa mazungumzo jijini Dar es Salaam
  • Bw. Suleiman Saleh Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mashariki ya Kati, akisalimiana na Mhe. Balozi Mohamed Ben Mansour Al Malek Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania walipokutana kwa mazungumzo jijini Dar es Salaam