BALOZI WA SPAIN AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Spain nchini Mhe. Maria Pedros Carrtero kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 8, 2018