Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sarahawi awasilisha nakala za hati za utambul
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) akipokea nakala za hati za utambulisho za Mhe. Mahayub Buyema Mahafud, Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sarahawi nchini Tanzania.