BALOZI MBAROUK ATETA NA DKT. MATHUKI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk (Mb) amekutana kwa mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Peter Mathuki katika Ofisi za Jumuiya hiyo leo Jijini Arusha.