Balozi, Dkt. Samwel W. Shelukindo aongoza Mkutano Kamati ya Makatibu Wakuu wa Asasi ya Ulinzi na Usalama SADC
Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wakuu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye Tanzania ni Mwenyekiti wa kamati hiyo kinafanyika Zanzibar Januari 04, 2025. Kikao hicho kimeitishwa kwa ajili ya kujadili hali ya siasa na usalama nchini Msumbiji kufuatia uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Oktoba, 09, 2024
Mkutano huo wa Makatibu Wakuu unafanyika chini ya Mwenyekiti, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi, Dkt. Samwel W. Shelukindo
Nchi zinazoshiriki mkutano huo ni mwenyeji Tanzania, Zambia na Malawi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (kulia) na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) Bi. Clementine Nkwera-Salami (kushoto) wakiwa katika mazungumzo yaliyofanyika jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb), Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa (Mb) na baadhi ya Mabalozi wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Tanzania Bw. Eric Hamissi alipokuwa akitoa taarifa ya eneo la Bandari Kavu (Kwala) mkoani Pwani leo
Sehemu ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi na Taasisi zao hapa nchini wakifuatilia kikao
Mazungumzo yakiendelea
Sehemu ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi na Taasisi zao hapa nchini wakifuatilia kikao