Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje yapitishwa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na wabunge wakati wa kujadiliwa Bajeti ya Wizara yake May 30, 2019
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Willium Lukuvi (Mb.) wakimsikiliza Prof. Palamagamba John Kabudi (hayupo pichani ) alipokuwa akijibu maswali Bungeni.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Kangi Lugola (Mb.) naye akichangia hoja kwenye Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Willium Lukuvi (Mb.) naye akichangia hoja kwenye Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa amesimama mbele ya magari yanayotarajiwa kutumiwa na viongozi na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kujiridhisha juu ya matayarisho ya mapokezi kwa ajili ya mkutano huo utakaofanyika Dar es Salaam,Tanzania. August 8, 2019.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damasi Ndumbaro (Mb.) akijibu maswali mbalimbali Bungeni wakati wa kupitisha Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro wakipongezwa na Wabunge Mbalimbali mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro (Mb.) akipongezwa na Mhe. Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati) akishauriana jambo na Katibu Mtendaji wa wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stagomena Tax (kulia) wakati wa kikao cha awali