WIZARA YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA U

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (aliyevaa miwani) akiwasilisha taarifa ya utendaji wa Wizara kwa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, kulia ni Naibu Katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhan Mwinyi.

WIZARA YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA JIJINI DODOMA