Wizara ya Mambo ya Nje yafanya usafi kwenye ufukwe wa Feri
Wizara ya Mambo ya Nje yafanya usafi kwenye ufukwe wa Feri
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki waadhimisha siku ya mazingira duniani kwa kufanya usafi kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Feri jijini Dar es Salaam. Wanaoenekana wakifanya usafi wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Bw. James Lugaganya akiwa pamoja na wafanya kazi wengine wa Wizara.
Mkurugenzi msaidizi Idara ya Utawala na Rasilimali watu Bw. Hamid Mbegu (kushoto) naye akifanya usafi