Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufalme wa Lesotho aliwasilisha Ujumbe Maalum kwa Makamu wa Rais
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufalme wa Lesotho aliwasilisha Ujumbe Maalum kwa Makamu wa Rais
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( wa pili Kulia), Mheshimiwa Lesego Makgothi wa pili kushoto, Mhe.Dkt. Suzan Kolimba -Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa kwanza kushoto na Balozi. Innocent Shiyo- Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo katika Ofisi za Makamu wa Rais Jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Julai,2017