Skip to main content
News and Events

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI BALOZI LIBERATA MULAMULA (Mb) AMEKUTANA NA

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair pamoja na ujumbe uliombatana nae. Mhe. Blair baadae atakutana kea mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu - Dar es Salaam.