Skip to main content
News and Events

Waziri Mkuu wa Ubelgiji Mjini Dodoma

Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akiwa na mgeni wake Mhe. Didier Reynders, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji mara baada ya kuwasili Mjini Dodoma kwa mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Serikali leo tarehe 6 Juni 2016.