Skip to main content
News and Events

Waziri Mahiga apokea hati ya Utambulisho

Waziri Mahiga apokea hati ya utambulisho kutoka kwa Konseli Mkuu wa Ubalozi mdogo wa Oman Zanzibar, Mhe. Ahmed Hamood Al Habs

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Konseli Mkuu wa Ubalozi mdogo wa Oman, Zanzibar Mhe. Ahmed Hamood Al Habs alipowasili Wizarani Jijini Dar es Salaam kabla ya kukabidhi hati ya utambulisho
  • Wakiwa katika picha ya pamoja