Skip to main content
News and Events

Waziri Mahiga akutana na Balozi wa Zambia nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi. Dkt. Augustine Mahiga akutana na Balozi wa Zambia nchini, Mhe. Judith Kapijimpanga. Katika mazungumzo yao wamejadili masuala mbalimbali ya kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizi mbili. Miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa ni kuhusu kuboresha na kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji inayoziunganisha Tanzania na Zambia, na masuala ya mazingira hasa kwa upande wa Ziwa  Tanganyika. 

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Konseli Mkuu wa Ubalozi mdogo wa Oman, Zanzibar Mhe. Ahmed Hamood Al Habs alipowasili Wizarani Jijini Dar es Salaam kabla ya kukabidhi hati ya utambulisho
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi. Dkt. Augustine Mahiga akutana na Balozi wa Zambia nchini, Mhe. Judith Kapijimpanga.