WAZIRI KABUDI AONGOZA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA, CARIBBEAN NA PACIFIC
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole Nasha (kushoto) akifuatilia Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) uliokuwa unaendelea kwa njia mtandao (Video Conference). Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika Bw. Hassan Mwamweta
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole Nasha (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika Bw. Hassan Mwamweta wakifuatilia Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) uliokuwa ukiendelea kwa njia mtandao (Video Conference).
Mhe. Prof. Palagamba John Kabudi (Mb) na ujumbe wa Tanzania wakifuatilia Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) uliokuwa ukiendelea kwa njia ya mtandao (Video Conference).

Sehemu ya Ujumbe wa Tanzania wakifuatilia Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) uliokuwa ukiendelea kwa njia ya mtandao (Video Conference).