Skip to main content
News and Events

Waziri Kabudi akutana na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Uingereza (DFID)

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Uingereza (DFID) Bi. Jane Edmondson alipomtembelea na baadhi ya wajumbe wake katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam Mei 21, 2019

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akimwelezea jambo Bi. Jane Edmondson pamoja na ujumbe alioambatana naoWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akimwelezea jambo Bi. Jane Edmondson pamoja na ujumbe alioambatana nao
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Uingereza (DFID) Bi. Jane EdmondsonWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Uingereza (DFID) Bi. Jane Edmondson