WATUMISHI WA WIZARA WALIVYOMPOKEA WIZARANII MHE.WAZIRI BAADA YA KUAPISHWA

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi baada ya kuwasili Wizarani Mtumba akitokea Ikulu ya Chamwino alipoapishwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano.

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi wa wizara alipokaribishwa Wizarani baada ya kuapishwa.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi wa wizara alipokaribishwa Wizarani baada ya kuapishwa.
  • Matukio katika picha yakionesha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi katika picha ya pamoja na watumishi wa WizaraMatukio katika picha yakionesha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara