News and Events Wananchi waendelea kujitokeza katika banda la Wizara kwenye maonesho ya sabasaba 04 Jul 2018 - News and Events - 981 Wananchi waendelea kujitokeza katika banda la Wizara kwenye maonesho ya sabasaba Sehemu nyingine ya wananchi wakipata maelekelezo kutoka kwa watumishi wa Wizara Sehemu nyingine ya Wananchi wakipewa maelekelezo na mtumishi wa Wizara