TANZANIA YAWASILISHA SALAM ZA RAMBI RAMBI NA PONGEZI - OMAN

Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwasilisha Salam za rambirambi kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mhe. Yusuf bin Alawi kufuatia kifo cha Sultan wa Oman - Sultan Qaboos bin Said Al Said pia Salaam za pongezi kwa kiongozi mpya wa Oman Mtukufu Haitham bin Tariq bin Taimur Al Said, Muscat,Oman

TANZANIA YAWASILISHA SALAM ZA RAMBI RAMBI NA PONGEZI - OMAN