Tanzania na Romania zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Palamagamba John Kabudi(Mb.), akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Romania katika Masuala ya Umoja wa Mataifa (UN), Balozi Daniela Gitman.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi, akimwonesha Balozi Daniela Gitman (katikati) ulipo mkoa wa Dodoma katika ramani ya Tanzania
Mjumbe Maalum wa Rais Klaus Iohannis wa Romania katika Umoja wa Mataifa (UN) Balozi Daniella Gitman (kushoto) akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) ujumbe maalum wa Rais wa J
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Romania. Wa pili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo Nje na Ushir