Skip to main content
News and Events

TANZANIA NA CHINA ZATILIANA SAINI MKATABA WA KUUZA BIDHAA ZA MUHOGO

  • Balozi wa Tanzania nchini China Mhe.Balozi Mbelwa Kairuki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipeana mkono na Naibu Mkurugenzi mkuu wa taasisi ya udhibiti na ukaguzi wa mazao, Li Yuanping kwa niaba ya Serikali ya jamhuri ya China mara baada ya kutiasaini mkataba wa kuuza China bidhaa za muhogo kutoka Tanzania.