Skip to main content
News and Events

TANZANIA, AFRIKA KUSINI ZAWASILISHA OMBI MAALUM AU

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb), Katibu Mkuu wa wizara hiyo Balozi Brigedia Jereli Wilbert Ibuge pamoja na Maafisa mbalimbali wakifuatilia Mkutano wa 34 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika unaofanyika kwa njia Video Conference. Prof. Kabudi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mkutano huo.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb), Katibu Mkuu wa wizara hiyo Balozi Brigedia Jereli Wilbert Ibuge wakifuatilia Mkutano wa 34 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika unaofanyika kwa njia Video Conference. Prof. Kabudi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mkutano huo.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb), akifuatilia Mkutano wa 34 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika unaofanyika kwa njia Video Conference. Prof. Kabudi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mkutano huo.