Skip to main content
RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIMUAPISHA YUSUPH TINDI MNDOLWA KUWA BALOZI
Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Yusuph Tindi Mndolwa akiapa kuwa Balozi Ikulu, Chamwino - Dodoma