Press Release Rais wa Afrika Kusini awasili nchini kwa Ziara ya Kiserikali 15 May 2017 - Press Release - 1143 Mhe. Jacob Zuma Rais wa Afrika Kusini akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi mara baada ya kuwasili leo tarehe 10 Mei 2017.