News and Events Rais wa Afrika Kusini awasili nchini kwa Ziara ya Kiserikali 11 May 2017 - News and Events - 990 Mhe. Rais Jacob Zuma alipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.