Skip to main content
  
  
   
   
   
   
   
    
      
        
          
            
              
                
                  
                    
                    
                      
                        
                        
                          
                          
                          
                            
                            
                             
                               RAIS MSTAAFU MHE. KIKWETE AONGOZA KONGAMANO LA MIAKA 40 YA SADC 
                              
                              
                              
                                
                                  
                                    
                                      
                                      
                                      
                                      
                                         Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akiwasilisha salamu za Wizara kwa washiriki (hawapo pichani) katika kongamano la maadhimisho ya miaka 40 ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula. Kongamano hilo limefanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akiwasilisha salamu za Wizara kwa washiriki (hawapo pichani) katika kongamano la maadhimisho ya miaka 40 ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula. Kongamano hilo limefanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
 Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akiwasilisha mada kuu kwa washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 40 ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC): Uzoefu wa Tanzania Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akiwasilisha mada kuu kwa washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 40 ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC): Uzoefu wa Tanzania