Skip to main content
News and Events

Rais Magufuli apokea Hati za Mabalozi

  • Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe. Ian Myles akisaini Kitabu cha Wageni Ikulu Jijini Dar es Saalam kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
  • Balozi wa Austria nchini Tanzania mwenye makazi yake, Nairobi, Kenya, Mhe. Herald Gunther akisaini Kitabu cha Wageni Ikulu Jijini Dar es Saalam kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
  • Balozi wa Thailand nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. Prasittiporn Wetprasit akisaini Kitabu cha Wageni Ikulu Jijini Dar es Saalam kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe. Ian Myles baada ya kuwasilisha Hati za utambulisho. Kulia ni Balozi Joseph Sokoine, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Canada na Wizarani.Wapili kulia ni Balozi Joseph Sokoine, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na wa kulia ni Balozi Zuhura Bundala, Mshauri wa Rais wa Masuala ya Diplomasia.
  • Balozi wa Austria nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. Herald Gunther akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania