Skip to main content
News and Events

Rais Magufuli Amkaribisha Rasmi Ikulu Rais wa Vietnam

Mhe. Rais Magufuli pamoja na mgeni wake Mhe. Truong wakitembea pamoja mara baada ya mgeni huyo kuwasili Ikulu

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Kushoto) akimkaribisha IKULU mgeni wake, Rais wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang ambaye yupo nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku nne.