Skip to main content
News and Events

Rais Dkt. Magufuli amuapisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa Masharik

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe kuwa Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2018