Rais awaapisha Mabalozi wa Tanzania nchini Ufaransa na DRC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Balozi wa Tanzania Ufaransa Mhe.Samuel W. Shelukindo. Sherehe za uapisho huo zimefanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mhe. Rais Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Balozi Shelukindo.
Mhe. Rais Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Balozi Mella.