PROF. KABUDI AZINDUA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI MOROGORO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiangalia moja ya teknolojia ya kisasa ya umwagiliaji wa mboga mboga katika viwanja vya Mwalimu Nyerere kunakofanyika maonesho ya siku ya wakulima nane nane Mkoani Morogoro
  • wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akizungumza na kaumu ya wananchi waliojitokeza katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere katika ufunguzi wa maonesho ya siku ya wakulima nane nane Mkoani morogoro
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza na kaumu ya wananchi (hawapo pichani) waliohudhuria sherehe za ufunguzi wa maonesho ya wakulima nane nane yaliyofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Mkoani Morogoro.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiangalia moja ya mashine ya mano ya uzalishaji wa sukari katika viwanja vya Mwalimu Nyerere kunakofanyika maonesho ya siku ya wakulima nane nane Mkoani Morogoro
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akimsikiliza mmoja wa wafanyakazi wa bodi ya Sukari katika viwanja vya Mwalimu Nyerere kunakofanyika maonesho ya siku ya wakulima nane nane Mkoani Morogoro
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akisaini kitabu cha wageni alipowasili katika viwanja vya Mwalimu Nyerere kunakofanyika maonesho ya siku ya wakulima nane nane Mkoani Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Abubakar Kunenge