NAIBU WAZIRI OLE NASHA AKUTANA NA SPIKA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngaga (wa pili kushoto) akizungumza katika kikao na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole Nasha walipokutana Ofisini kwa Naibu Waziri jijini Dodoma.
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole Nasha akisisitiza jambo walipofanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngaga aliyemtembelea Naibu Waziri Ofisini kwake jijini Dodoma.