NAIBU WAZIRI MBAROUK; TANZANIA ITAENDELEA KUHESHIMU NA KUTAMBUA MCHANGO WA WALINDA AMANI DUNIANI

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb) akihutubia hadhira iliyojitokeza katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwenye maadhimisho ya siku ya walinda amani.
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb) akikagua gwaride kwenye maadhimisho ya siku ya walinda amani yaliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb) akiweka mashada kama ishara ya kuwakumbuka walinda amani waliopoteza maisha wakati wa harakati za kudumisha amani kwenye operesheni mbalimbali za Umoja wa Mataifa.