Skip to main content
News and Events

Naibu katibu Mkuu akutana na ujumbe kutoka Sweden

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Naje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza alipokutana na ujumbe kutoka Sweden.

  • Mazungumzo yao yalijikita katika kuendeleza ushirikiano wa Kiplomasia, shughuli za Kijamii na Kiuchumi baina ya nchi hizi mbili