Skip to main content
News and Events

Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO awasilisha Hati za Utambulisho

Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO awasilisha Hati za Utambulisho

  • Mhe. Waziri Balozi Augustine Mahiga (Katikati), Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO, Bw. Stephen Bainous Kargbo (Kushoto) na kulia ni Balozi Grace Martin, Mkurugenzi Idara ya Itifaki wakiwa katika mazungumzo.
  • Mhe. Waziri Balozi Mahiga, Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO na Wataalam kutoka Wizarani na Ofisi za UNIDO wakiwa katika picha ya pamoja baada ya makabidhiano ya Hati za Utambulisho..